Subscribe to the channel for more
Follow Willy Paul on Socials
#WillyPaul #saldidointernational
lyrics
Mda una yoyoma ngozi inabadilika nami nishampata wangu wa
oooh mda una yoyomaaa uuuh aaah.
Verse
Mpenzi ya watu yasifanye tuachane, my darling
Wakibonga shut up and call my number nambie unanipenda wasikie tunavopenda milele daima
Sijui kama unapenda goodbye mi sipendi, sijui kama unapenda goodbye mi sipendi.
Mimi sipendi ata kukumiss
Napenda tu kukukiss
Nitakuwa nawe ata wakidiss
Coz you're my princess.
Pre-chorus
It's only you that I think of, you that I dream of no other person.
Chorus
Baby we kanyangaa kamati ya roho chafu we kanyagaa, fitima mikosi we kanyagaa kanyagaa
Wanaongoja tuachane we kanyagaa
Wanao omba mabaya we kanyagaa
Wanao kesha kwa waganga we kanyagaa
Kanyagaa
Verse 2
Pacha wangu baby baby doli twende kwenye majiji boti, twende tukaogele waone mama mgongo unikumbate wacha waone mama nipige busu kwa fitina wacha waone mama.
Inawachoma baby choma sana inawachoma sheri
Pre-chorus
It's only you that I think of, you that I dream of no other person.
Chorus
Baby we kanyangaa kamati ya roho chafu we kanyagaa, fitima mikosi we kanyagaa kanyagaa
Wanaongoja tuachane we kanyagaa
Wanao omba mabaya we kanyagaa
Wanao kesha kwa waganga we kanyagaa
Kanyagaa
You and I will live forever, you and I will live forever aaaah ×2
tutaishi wawili forever na wenye wivu wameze wembe ×2